Wasanii wenye majina makubwa lakini wanalazimisha mziki hali ya kuwa mziki ushawakataa

Hivi mtu akipigwa ban hapo kwny avatar yake ndio inaandikw ban kama hvyo hapo kw hance au ameweka mwenyew?
Na je unakua unasoma tu lakn hauchangii mada ee au inakuaje
Mm n kati y wale watu ambao wakat w regstration kila kitu tunatik ok hatusomii lol
Yaan hapo account yake haifanyii kaz kabsa, labda awe kama visitor tuu.
Hiyo ya kuandkwa banned si yeye ila wewe ndo unapewa taarifa kuwa huyu ndugu yako kawekwa jela ya jf
 
Na wewe upo category gani au mzee wa povu tu--
 
Hivi mtu akipigwa ban hapo kwny avatar yake ndio inaandikw ban kama hvyo hapo kw hance au ameweka mwenyew?
Na je unakua unasoma tu lakn hauchangii mada ee au inakuaje
Mm n kati y wale watu ambao wakat w regstration kila kitu tunatik ok hatusomii lol
Ndio
 
@ hance mtanashati, huwa nakuelewa Lakini hapa kwa alikiba Umezingua kinomanoma! Hatimaye nimegundua kuwa nia yako siyo kumshauri alikiba, Bali ni kumshusha, yes,am his fan, hajafika kwenye level ya kusema Eti mziki umemkataa, ni upuuzi upuuzi tuu,
Ungeanzisha uzi mwingine wa kumshauri, au ungeunganisha na uzi wa jana na siyo kuja kumweka kwenye list ya watu waliokataliwa na mziki
Alikiba ni msanii anaeweza kukaa miaka hata mitatu bila kutoa wimbo na akaendelea kuhit!,
Acha figisu.
 
Soma maelezo ya mdau vizuri kuusu kiba me naona ajamponda wala nini kasema kiba anajua kuimba ira abadiri vitu vichache
 
juma nature mimi hata zamani nilikua simuelewi, zaidi ya maziki wake mmoja tu, hakuna kulala[emoji7]..

miziki ya zamani iliyotamba bila maana yoyote sijui ndo waliimba hawa NGANGARI..[emoji23][emoji23][emoji23]
estelina hana juhudi!
snura ana juhudi za kibongo bongo..
wengine wafanye mengine mziki umewapita...
 
Una umri gani we mtoa post?
 
Nyimbo gani ya Snura unayoiona inatufaa kama jamii ya wastaarabu? Huyu kama si ule mkia, hamna msanii.
 
Ukweli KR hawezi simama mwenyewe,bila wachuja nafaka na wanaume TMK hata tusingemjua, sikumbuki kama niliwahi sikia single yake hata moja,kitu pekee anachoweza sana ni kucheza mapanga shaaa,Temba anajua kuimba mambo ya kitandani tu zaidi ya hayo hana maneno mengine ya maana,Linah anajua kuimba sana ila sidhani kama anajua kutunga hii inamaanisha asipotungiwa wimbo ndo basi tena,yangu ni hayo tu kwa leo baaaaaaaai.
 
Uhmmm...cjui unaongelea mziki gani,lkn watu kama Kiba,lina,temba nadhani wwe ndio utakuwa hupend aina ya uimbaj wao lkn sio kuwa hawajui imba.

Lina kweli hajui kuandika lkn anatoa idea anandikiwa na anasauti nzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…