Wasanii wenye majina makubwa lakini wanalazimisha mziki hali ya kuwa mziki ushawakataa

mfalme wa vichaa gk pia
 
Ila kama kweli hawa jamaa wana edit uzi wa mtu na uzi hauna matusi hiyo haipo poa kabisa,hiyo nikutoa mawazo yenu badala ya mtoa mada.

Jf siku hizi haieleweki eleweki.
haieleweki kabisa mkuu
 
Mbna humtaji mtu ambaye ameshindwa mziki na nyimbo zake hukaaa mtaani kwa wiki moja mbili znapotea na sasa hvi ameanza kutumia kiki za nyimbo za zaman kutoka hahahaahah sjui wanamwita mon....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hance sio mtu wa mchezo mchezo....aseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu dogo kazidi anapenda sana kuniponda sasa kwa mawazo yake anadhani alivyotumia id fake nisingemjua ,kumbe mimi nilikuwa namvutia pumzi tu
 
haya maisha kukomaaa,we si unaona manji mwenyewe anavyokomaa na yanga yake
 
Shida ni kuwa dogo kazidi kuniponda na ID hii alidhani sitamjua

Kwa id zake nyingine alikuwa ananiheshimu kama baba/kaka yake kwa hiyo kaona atumie hii ili nisimjue
Kwani ugomvi wenu umeanzia wapi hadi huyu ndugu akachukua jukumu la kua na id tofauti tofauti kwa ajili ya kukuponda tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…