Wasanii wenye majina makubwa lakini wanalazimisha mziki hali ya kuwa mziki ushawakataa

hata ww kuweka mabandiko unalazimisha tu, hujawahi kuwa na bandiko la maana.

zaid kusifia ujinga
 

Hapa Kiba kaingiaje???? hebu cheki tittle yako ___
Wasanii wenye majina makubwa lakini wanalazimisha mziki hali ya kuwa mziki ushawakataa

Mtoe KIBA!
Mimi nijuavyo huwezi kukubalika na watu wote, huwezi kupendwa na watu wote. Hii ni Chuki kabisa ya waziwazi. Alikiba katoka kufanya show kubwa Africa MTVMAMA na Bado ana MTVEMA yupo nominated halafu unamweka hapa

___NIMEAMINI MANENO YA MKUU KWAMBA KUNA WATU HATA UKIOGELEA WATAKWAMBIA UNAWATIMULIA VUMBI___________
 




Tatizo la wengine wanalazimisha........
Mfano huyu analazimisha....sasa anaimba nyimbo zisizo na maadili ya hata mwanae mwenyewe kuziangalia na kuzisikiliza ni hovyo....
Tatizo la wasanii wetu wa kike wakishafeli ktk muziki wanageukia uchangu..kama huyu anapoelekea siko
 



huku kujichubua kwa wadada sikuhizi dahh...weusi wachache sana sasa...
huyu kajichubua angalia vidole vimebuma....
Ndauka nae siku hizi ashakuwa mweupe..
Sijui wanaume ndio wamewaambia wanataka weupe?
Mwingine anajichubua utafikiri mweupe ukimuoa unashangaa mtoto anatoka mweusi.......hahahahaha kumbe kidume kaingizwa chaka...

 
We we Jamaa hujui unachokiandka napia nimegundua hujui mziki,ali kiba,aika ndio imenifanya nijue kuwa hujui mziki
 
nilitegemea diamond angekuwa wa kwanza,kuimba hajui kazi kugegedana 2 na bongo movie
 
Na mimi niongeze wa kwangu
1)Mr blue byser ,ukisikiliza nyimbo zake za before na sasa utaona tofauti kubwa kwa wale wanaojua music
2)Berry black
3)Abby skillz
4)Hakeem 5
5)Gk na wengineo
Hawa walikuwa my best artists lakini sasa hivi wananisikitisha sana
 
Kaka kwa AIKA hapo umekosea ukiondoa lady jaydee na wadada wengine kama wawili aika anafuata, bse anajua mziki, kuimba. Kuhusu Linah unamuonea muziki sio muda wote unakubali.
 
Kuna watu mpo makini kufuatilia makosa ya wenzenu Haya tutajie na wewe ulichokfanya au kaimbe wewe
 
Katoe single yako moja na wewe kuimba si lele mama kijana,hata siku moja haiwezekani wote muwe sawa lazima mmoja awe juu ili wa kung'ara awepo kama unataka waache mziki unazani soko litakuwaje kama unajua maana ya Competitive market usingeweka ujinga wako huo mtu wangu........THINK BEFORE TO POST ZEN JIONGEZE MENGNE ILI UELEWE ZAIDI...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…