Wasanii wenye vipaji ila sura za kimasikini hawa hapa!

Wasanii wenye vipaji ila sura za kimasikini hawa hapa!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
1.) Diamond platnumz - ngololo
2.) Samir - Kinyulinyuli
3.) Dogo asly - Ya moto
4.) Chege
5.) Juma nature
6.) Afande sele
7.) Suma G
8.) ...., ongezea..
 
Nini maana ya neno kimasikini na unatumia kipimo na kigezo gani kufahamu sura mbali mbali.

Sura za kitajiri ndizo zipi?.

Wasanii gani wenye vipaji na wasio na vipaji lakini wana sura za kitajiri?.

Je, msanii unaweza kuwa na sura ya kimasikini wakati ni tajiri au sura ya kitajiri wakati ni tajiri kulingana na kipimio chako.
 
Mifano ya wasanii wenye sura za kitajiri
1.) Ph.D Hemedy
2.) A.Y
3.) Cyril
4.) Mr.blue
5.) Jaguar
6.) K-lynn
7.) J.D
8.).....Ongezea..
 
Mifano ya wasanii wenye sura za kitajiri
1.) Ph.D Hemedy
2.) A.Y
3.) Cyril
4.) Mr.blue
5.) Jaguar
6.) K-lynn
7.) J.D
8.).....Ongezea..
Mkuu, Unatumia kigezo/vigezo gani kuwabainisha?. Je hicho kigezo kinatambulika na kinakubalika kitaifa au kimataifa?.
 
Unatumia kigezo/vigezo gani kuwabainisha?. Je hicho kigezo kinatambulika na kinakubalika kitaifa au kimataifa?.

Naangalia SWAGGA za mhusika in general.., mfano msanii mwenye lafudhi ya kimakonde moja kwa moja anaangukia upande wa sura za kimaskini.., vice-versa is true. Pia naangali muonekano wa sura yake.., yule mwenye sura kama analamba ndimu anaangukia hilo kundi la muonekano wa kimasikini, vice-versa is true. Pia naangalia uvaaji wake.., by the way hivi vigezo vinakubalika kabisa humu JF..!
 
duh....ungeweka kavigezo na kapicha, maana wengine hao hatuwajui?
 
Sio kweli vigezo vyako havikubaliki..tupa kule
 
Mkuu, Unatumia kigezo/vigezo gani kuwabainisha?. Je hicho kigezo kinatambulika na kinakubalika kitaifa au kimataifa?.
Kuna sura zingine mtu unajiuliza kama asingekua muimbaji pengine angekua kibaka.

Au kabla ya kua muimbaji Pengine alikuaga kibaka hapo kabla. Sura ya Linex, Chegge, ni mfano tosha wa sura za vibaka.

Upande wa pili sura ya Mr. Blue au Hemed PHD inaonyesha kalelewa malezi ya mtoto wa mama, au kwao mambo safi hivi.
 
Makubwa haya ya leo...ila kweli bana wengi za shidashida sana
 
duh....ungeweka kavigezo na kapicha, maana wengine hao hatuwajui?

compare diamond na hemed Phd.., hawa hapa..!

d1.jpg Phd.jpg
Diamond platnumz Hemed Phd
(Sura ya kimaskini) (Sura ya kitajiri)
 
huyo no7 ni mkali wa sura na analipa na ni mkali wa msongi yake muondoe katika list hapo juu
1.) Diamond platnumz - ngololo
2.) Samir - Kinyulinyuli
3.) Dogo asly - Ya moto
4.) Chege
5.) Juma nature
6.) Afande sele
7.) Suma G
8.) ...., ongezea..
 
Back
Top Bottom