Wasanii wenye vipaji ila sura za kimasikini hawa hapa!

Wasanii wenye vipaji ila sura za kimasikini hawa hapa!

Naangalia SWAGGA za mhusika in general.., mfano msanii mwenye lafudhi ya kimakonde moja kwa moja anaangukia upande wa sura za kimaskini.., vice-versa is true. Pia naangali muonekano wa sura yake.., yule mwenye sura kama analamba ndimu anaangukia hilo kundi la muonekano wa kimasikini, vice-versa is true. Pia naangalia uvaaji wake.., by the way hivi vigezo vinakubalika kabisa humu JF..!
Ha ha ha ha JF is home kwakweli
 
Cousin ile sura ya 20% ni ya kitajiri halafu ile inalipa ile mbaya yaani ina mvuto wake unapoiona

20% huyu hapa.., compare na mr.blue..

hqdefault.jpg
Wahida.jpg
 
Uumbaji wa Mungu huo,wewe ni nani wakumkosoa?

Onyesha wapi nimemkosoa.., mi nime highlight nilichokiona tu.., mbona husemi nilivyowasifia kwamba wanavipaji.., ila we utakuwa na sura mbaya tu.., lol..!
 
Onyesha wapi nimekosoa.., mi nimehighlight nilichokiona tu.., mbona husemi nilivyowasifia kwamba wanavipaji.., af we utakuwa na sura mbaya tu.., lol..!
 
Haaaa na yule ndugu yangu aliyefumaniwa kisha majuzi kati.ameanguka kwenye ile gari ya miguu mitatu je?
 
Back
Top Bottom