FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nini maana ya neno kimasikini na unatumia kipimo na kigezo gani kufahamu sura mbali mbali.
Sura za kitajiri ndizo zipi?.
Wasanii gani wenye vipaji na wasio na vipaji lakini wana sura za kitajiri?.
Je, msanii unaweza kuwa na sura ya kimasikini wakati ni tajiri au sura ya kitajiri wakati ni tajiri kulingana na kipimio chako.
Mkuu, Unatumia kigezo/vigezo gani kuwabainisha?. Je hicho kigezo kinatambulika na kinakubalika kitaifa au kimataifa?.Mifano ya wasanii wenye sura za kitajiri
1.) Ph.D Hemedy
2.) A.Y
3.) Cyril
4.) Mr.blue
5.) Jaguar
6.) K-lynn
7.) J.D
8.).....Ongezea..
Unatumia kigezo/vigezo gani kuwabainisha?. Je hicho kigezo kinatambulika na kinakubalika kitaifa au kimataifa?.
Sio kweli vigezo vyako havikubaliki..tupa kuleNaangalia SWAGGA za mhusika in general.., mfano msanii mwenye lafudhi ya kimakonde moja kwa moja anaangukia upande wa sura za kimaskini.., vice-versa is true. Pia naangali muonekano wa sura yake.., yule mwenye sura kama analamba ndimu anaangukia hilo kundi la muonekano wa kimasikini, vice-versa is true. Pia naangalia uvaaji wake.., by the way hivi vigezo vinakubalika kabisa humu JF..!
Kuna sura zingine mtu unajiuliza kama asingekua muimbaji pengine angekua kibaka.Mkuu, Unatumia kigezo/vigezo gani kuwabainisha?. Je hicho kigezo kinatambulika na kinakubalika kitaifa au kimataifa?.
1.) Diamond platnumz - ngololo
2.) Samir - Kinyulinyuli
3.) Dogo asly - Ya moto
4.) Chege
5.) Juma nature
6.) Afande sele
7.) Suma G
8.) ...., ongezea..
huyo no7 ni mkali wa sura na analipa na ni mkali wa msongi yake muondoe katika list hapo juu
Kwenye hizo list wewe upo wapi?