Wasanii wetu enzi hizo!

Wasanii wetu enzi hizo!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Kweli tunatoka mbali!

attachment.php


Credit; XDEEJAYZ
 

Attachments

  • ZAMANI.jpg
    ZAMANI.jpg
    29.6 KB · Views: 819
dah....umenikumbusha MAX huzuni imenikaba RIP
 
Yaan marehem Max ndo anaonekana ananafuu ya Maisha kipindi hiko
 
Ray C akiwa kimodo alafu angalia wasanii wa hiphop na style za mabegi mgongoni! Dudubaya na AY wakiwakilisha.
 
Samahani lkn,hivi hapo AY alikuwa na kilo zaidi ya 50 kweli,maana
 
Daah,maisha kitu kingine kabisa,hakuna aliyekuwa akijua ni nini kiko mbele yake.Baada ya hapo Max akafa,Ray C akawa teja,Dudu baya akaisha kimuziki na AY akatusua...
Maisha anapanga Mungu kwakweli.

"Nlikuwepo":bolt:
 
AY sijui alikua anapima kilo ngapi hapo mwe.!!!!
 
Enzi za kusugua sori mchana kutwa wakitafuta studio,halafu walikuwa weusi haoooo!!!.
 
Back
Top Bottom