Wasanii wetu, oneni umuhimu wa kuacha angalau mtoto pindi mtakapoaga dunia

christmas

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
2,701
Reaction score
1,280
Ni mifano mingi tumeona pindi msanii au mtu yeyote yule ambaye amefikia umri wa kuanzisha familia inapotokea amefariki bila hata ya kuacha angalau mtoto mmoja ambaye atakuwa faraja kwa familia au jamii kwa ujumla.

Nimeamua kusema hivi kwa sababu nimetoka kusikiliza historia ya marehemu MEZ B, R.I.P ikisomwa leo wakati amezikwa sikusikia kuwa marehemu alianzisha familia yake achilia mbali hata mtoto tu. Kweli inaumiza ukizingatia marehemu alivuka miaka 30 na zaidi.

Sio tu Mez-b pia na Ngwear pia R.I.P bila kusahau Kanumba R.I.P pamoja na wengine wengi. Tujifunze jamani inaleta faraja kwa familia pindi wakimwona mtoto alieachwa na marehemu.
 
tatizo hao wanaojiita ma celebrities wanajiona bado wapo wapo na wanasahau kifo kipo saa yeyote
 
Ngwair ameacha mtoto mbona....Diamond nae yuko njiani....😛eep:
 
tatizo sio kua hawapendi kua na watoto tatizo wanapenda kua na mademu ma superstar yaliyoshindikana ambayo na yenyewe hayataki kuzaa na yameoza na ndio maana wasanii wanakufa kwa ugonjwa wa kifua kwa wingi.shauri yao wasipobadilika wataisha.suruali aina ya pesa na umaruufu huvaliwA na shati linaloitwa kifo
 
Hawataki kuacha mtoto sababu wanajua status yao,wanaogopa mtoto kuteseka wengine wanalazimisha kama.......mond
 
Au na Mez B nae alikuwa mgumba manake Diamond mwenye 26 tu kutokuwa na mtoto wapenda majungu wanasema hana uwezo wa kupiga mimba sasa kwa mtu ambae alikuwa 30+ sijui status yake ilikuwa vipi!!!! Hii nchi yaani unakuta watu wapo katika kusherehekea mabaya ya wenzao tu utafikiri wao ndo wamekamilika!
 
Ni mifano mingi tumeona pindi msanii au mtu yoyote yule ambaye amefikia umri wa kuanzisha familia inapotokea amefariki bila hata ya kuacha angalau mtoto mmoja ambaye atakua faraja kwa familia au jamii kwa ujumla.
Nimeamua kusema hivi kwa sababu nimetoka kusikiliza historia ya marehemu Mez-b R.I.P ikisomwa leo wakati amezikwa sikusikia kuwa marehemu alianzisha familia yake achilia mbali hata mtoto tu. Kweli inaumiza ukizingatia marehemu alivuka miaka 30 na zaidi. Sio tu Mez-b pia na Ngwear pia R.I.P bila kusahau Kanumba R.I.P pamoja na wengine wengi. Tujifunze jaman inaleta faraja kwa familia pindi wakimwona mtoto alieachwa na marehemu.

Kama mtu kaamua kutoacha mtoto wewe kinachokuuma hasa ni kipi?
 
Afadhali hawakuacha watoto (kama ni kweli) maana sipati picha mtoto mdogo kupotelewa na mzazi wake katika umri mdogo.
 
Ni mifano mingi tumeona pindi msanii au mtu yoyote yule ambaye amefikia umri wa kuanzisha familia inapotokea amefariki bila hata ya kuacha angalau mtoto mmoja ambaye atakua faraja kwa familia au jamii kwa ujumla.
Nimeamua kusema hivi kwa sababu nimetoka kusikiliza historia ya marehemu Mez-b R.I.P ikisomwa leo wakati amezikwa sikusikia kuwa marehemu alianzisha familia yake achilia mbali hata mtoto tu. Kweli inaumiza ukizingatia marehemu alivuka miaka 30 na zaidi. Sio tu Mez-b pia na Ngwear pia R.I.P bila kusahau Kanumba R.I.P pamoja na wengine wengi. Tujifunze jaman inaleta faraja kwa familia pindi wakimwona mtoto alieachwa na marehemu.

Faraja ya familia kumwona mtoto aloachwa na marehemu…je kwa marehemu mwenyewe inamsaidia nini!?Au walioacha watoto 15 unadhani wamefaidika nini baada ya kufa!?
 
Chukulia wewe ndio mtoto wa wema,sijui kajala,sijui nani na takataka za mtindo huo.Unapata simulizi za jinsi mamako alivyo hodali wa kuvua chupy kwa wanaume! bora yasizae

Nawaonea huruma watoto wa ALLI KIBA.
 
Back
Top Bottom