Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nchi yetu Ina maajabu mengi sana ,nilitegemea kuona tweet na posti nyingi tangia jana kutoka kwa wasanii wakipaza sauti juu ya Hali hii lakini nimeishia kuona Lady jaydee, zuchu na Idrisa tu angalau wamepiga kelele kukemea jambo hili ,kwa nini nyinyi wasanii hamjitambui ?
Nani amewaroga au mnataka akitekwa msanii ndio mpige kelele? Nyinyi mnafollowers wengi mnafuatiliwa na watu wengi kwanini mnakuwa na roho za kichawi ? Kweli Nassibu, Nandy ,Harmonize, Whozu, Wema na wengine wote mnataka mpaka watekwe wazazi wenu ?
Hamjaguswa na mauaji haya ?? Acheni Sanaa za uchawa !! Kila mtu akipiga kelele kukemea na kulaani jambo hili serikali ingesikia na kuongeza juhudi za kulinda raia wake !! Huyu amepatikana ameuliwa Kuna wengine Bado hawajulikani waliko !! Pazeni sauti hili sio jambo la kisiasa !!
Soma Pia:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?