Pre GE2025 Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea

Pre GE2025 Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una hakika mkuu???
Hizo kelele za wasanii kukemea sidhan kama ni necessary issues za kujadili right now .....wakiguswa watakemea and syo kuwalaumu.....
Ni lazima kuwaambia ukweli inaonekana hawajui umuhimu wao kwa jamii
 
Nchi yetu Ina maajabu mengi sana ,nilitegemea kuona tweet na posti nyingi tangia jana kutoka kwa wasanii wakipaza sauti juu ya Hali hii lakini nimeishia kuona lady , jaydee zuchu na idrisa tu angalau wamepiga kelele kukemea jambo hili ,kwa nini nyinyi wasanii hamjitambui ? Nani amewaroga au mnataka akitekwa msanii ndio mpige kelele? Nyinyi mnafollowers wengi mnafuatiliwa na watu wengi kwanini mnakuwa na roho za kichawi ? Kweli nassibu ,nandy ,harmo ,whoz,wema na wengine wote mnataka mpaka watekwe wazazi wenu ? hamjaguswa na mauaji haya ?? Acheni Sanaa za uchawa !! Kila mtu akipiga kelele kukemea na kulaani jambo hili serikali ingesikia na kuongeza juhudi za kulinda raia wake !! Huyu amepatikana ameuliwa Kuna wengine Bado hawajulikani waliko !! Pazeni sauti hili sio jambo la kisiasa !!
Mambo ya nayo endelea katika jamii yetu hayawahusu woko busy kusifia tu.
 
Then thread Yako ingelenga watu wote .....na syo kua specific na wasanii mkuu
 
Watu wote kivipi ndugu hao wanafuatiliwa zaidi
So itabadilisha nn wakikemea mkuu........nafkiri hao hutumia kuraise awareness ya kitu labda ....naamini jamii yote iko awared now.....so sidhan kama wao kukemea au kutokukemea kutakua na impact.......tuslaumu tu bila kuja na ideas za kumalza hili.....
 
So itabadilisha nn wakikemea mkuu........nafkiri hao hutumia kuraise awareness ya kitu labda ....naamini jamii yote iko awared now.....so sidhan kama wao kukemea au kutokukemea kutakua na impact.......tuslaumu tu bila kuja na ideas za kumalza hili.....
Basi tuletee hiyo ideas huenda ikatusaidia
 
Fuatilia ac zangu zote utaona nilichofanya
Na ID yako fake...acha utani kijana.

Mabadiliko yanaanza na wewe, mimi na sisi.
Ila siyo kwa kukaa nyuma ya keyboard na utambulisho bandia.
 
Angalau Idriss Sultan ameoneshwa kuguswa japo ameogopa kufunguka mazima ila ameeleweka. Kuna post kaiweka FB leo. Mungu ambariki.
 
Back
Top Bottom