Pre GE2025 Wasanii wetu tumieni mitandao na umaarufu wenu kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una hakika mkuu???
Hizo kelele za wasanii kukemea sidhan kama ni necessary issues za kujadili right now .....wakiguswa watakemea and syo kuwalaumu.....
Ni lazima kuwaambia ukweli inaonekana hawajui umuhimu wao kwa jamii
 
Mambo ya nayo endelea katika jamii yetu hayawahusu woko busy kusifia tu.
 
Then thread Yako ingelenga watu wote .....na syo kua specific na wasanii mkuu
 
Watu wote kivipi ndugu hao wanafuatiliwa zaidi
So itabadilisha nn wakikemea mkuu........nafkiri hao hutumia kuraise awareness ya kitu labda ....naamini jamii yote iko awared now.....so sidhan kama wao kukemea au kutokukemea kutakua na impact.......tuslaumu tu bila kuja na ideas za kumalza hili.....
 
Basi tuletee hiyo ideas huenda ikatusaidia
 
Fuatilia ac zangu zote utaona nilichofanya
Na ID yako fake...acha utani kijana.

Mabadiliko yanaanza na wewe, mimi na sisi.
Ila siyo kwa kukaa nyuma ya keyboard na utambulisho bandia.
 
Angalau Idriss Sultan ameoneshwa kuguswa japo ameogopa kufunguka mazima ila ameeleweka. Kuna post kaiweka FB leo. Mungu ambariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…