Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania kuna wasanii wengi lakini hakuna wanamuziki kabisa; nasisitiza kuwa hakuna wanamuziki kabisa. Wote ni wasanii!Nimeumia sana baada ya kusikia hii nyimbobya nigeria ya bwana yule anayesema 'baby calm down calm down' baby wowowowoowowow alafu lolololololo kwa kweli nyimbo hii imetrend sana Tanzania
Ni lini pia mziki wetu utatrend kama hivi pasi kubana pua kiki wala kununua views.
Namkubali diamond lakini sioni akitufikisha naona ameingia kwenye decline phase japo bado ni powerful ndani
Wasanii wetu shida nini