Wasanii wetu wajitahidi kuigiza

Wasanii wetu wajitahidi kuigiza

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Dk Cheni anakuja na movie kali inayoitwa ONE BY ONE check some of the scenes
IMG_1894.jpg
IMG_1898.jpg
5x7.jpg

hii inanikumbusha enzi tuko shule ya msingi wanamazingaobwe walifanya mambo kama haya live mpaka kugeuza kichwa kama boga..

dk cheni anakuja na movie kali inayoitwa one by one check some of the scenes
img_1894.jpg
img_1898.jpg
5x7.jpg

hii inanikumbusha enzi tuko shule ya msingi wanamazingaobwe walifanya mambo kama haya live mpaka kugeuza kichwa kama boga..

hamna jipya
 
Hivi mazingaombwe yapo hadi siku hizi?
 
Back
Top Bottom