elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
naangalia kipindi cha sporah kuna ommy dimpoz, alikiba, na mtanzania flani ana asili ya kiasia pamoja na dada flani mtanzania anasoma u.k.
Alikiba na ommy wanaboa kwakuwa wanaropoka yani wako kama vile kijiweni, they dont stick on the point, masikhara mengi mara miguu waweke mezani, wanapayuka payuka.
Wasanii wa kibongo wanabidi wajifunze kubehaviour according to place and context.