Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na nyie muda wa kuangalia mavipindi ya ajabu ajabu mnatoa wapi????
Hata mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo, kwa mfano Jumapili ya leo yote nimrelax tu nyumbani na ni redio station moja tu niliyokuwa nasikiliza, hii redio inaitwa Choice fm, ni full kidhungu, Bongo fleva, Taarab na Bolingo huku havina nafasi na kushangaza zaidi redio hii inamilikiwa na Clouds media vilevile.
Lakini cha kushangaa humu kila siku utasikia inalalamikuwa Clouds Fm na Kibonde, wakati redio za mizaha mmechaguwa wenyewe mbona hii Choice fm nayo ni ya Kusaga na ni full raha? kwanza vilaza kama Kibonde wenye English ya kuunga unga upande wa choice fm hawakanyagi kule ni uwanja wa Ema Chriss. inshort ukipenda upuuzi na mizaha utaangalia vipindi vya mizaha na upaswi kuja kulalamika is your choice.
Hivi unategemea mtu anayeejita Ommy Dimpoz akili atatowa wapi? hakuna analojuwa zaidi ya hizo Dimpoz.
Ndo mana yake.