wasanii wetu washamba

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
naangalia kipindi cha sporah kuna ommy dimpoz, alikiba, na mtanzania flani ana asili ya kiasia pamoja na dada flani mtanzania anasoma u.k.
Alikiba na ommy wanaboa kwakuwa wanaropoka yani wako kama vile kijiweni, they dont stick on the point, masikhara mengi mara miguu waweke mezani, wanapayuka payuka.
Wasanii wa kibongo wanabidi wajifunze kubehaviour according to place and context.
 
Kumbe umeona eenh!! Nilidhani peke yng,.hata huyo mtangazaji mwenyewe hajui,cos ilibidi yy ndoawe serious na interview,bt utadhani wapo ghetto wanapiga story.,shame on them.fusekiiiii.
 
Bimpoz mi ndio kanikera! eti anasema wanafunzi w chuo ndio wanaongoza kw kudesa kwnye mitihani, wakati yeye hata std 7 hajamaliza .......... Labda mama yake ndio anadesa.
 
sporah show leo iliniboa jamaa walikuwa wanaongea tu hawana reason full kuropoka
 
Ila sometimes msipende mponda mtu bila sababu ya maana mana hata nyie hamtopenda kutendewa hili
 
Ila sometimes msipende mponda mtu bila sababu ya maana mana hata nyie hamtopenda kutendewa hili

sio kwamba tuna ponda bila sababu ya maana, we hudhani kwamba kile kipindi kinaangaliwa na watu wengi ambao watakuwa wamewashangaa kwa jinsi walivyokuwa wana misbehave.
That was too much kama wewe unafuatilia kipindi cha sporah, nadhani umeona mara nyingi anahoji mastar na wasanii mbalimbali lakini hawafanyi kama waliyokuwa wanayafanya hawa.
 
na nyie muda wa kuangalia mavipindi ya ajabu ajabu mnatoa wapi????
Hata mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo, kwa mfano Jumapili ya leo yote nimrelax tu nyumbani na ni redio station moja tu niliyokuwa nasikiliza, hii redio inaitwa Choice fm, ni full kidhungu, Bongo fleva, Taarab na Bolingo huku havina nafasi na kushangaza zaidi redio hii inamilikiwa na Clouds media vilevile.

Lakini cha kushangaa humu kila siku utasikia inalalamikuwa Clouds Fm na Kibonde, wakati redio za mizaha mmechaguwa wenyewe mbona hii Choice fm nayo ni ya Kusaga na ni full raha? kwanza vilaza kama Kibonde wenye English ya kuunga unga upande wa choice fm hawakanyagi kule ni uwanja wa Ema Chriss. inshort ukipenda upuuzi na mizaha utaangalia vipindi vya mizaha na upaswi kuja kulalamika is your choice.

Hivi unategemea mtu anayeejita Ommy Dimpoz akili atatowa wapi? hakuna analojuwa zaidi ya hizo Dimpoz.
 

Mh!
We nawe kwa kujikosha tu, umejaliwa.
 
Unategemea jitu linajiita ommy dimpoz litakua na akili kichwan kweli?jitu lenyewe limeishia darasa la pili tu!
 

Kwani kipimo cha ujanja au ubora ni kutumia lugha ya kingereza na kupiga nyimbo za kingereza.
Mbona kuna nyimbo nyingi za kingereza laiti zingetafsiliwa kwa kiswahili kwa kiswahili hata redion zisingepigwa maana zimejaa matusi na ujinga mwingi.
Taarab kuna watu wenye heshima zao wanapenda, bongo fleva ndo mziki wetu hapa and so so.
Hapa mimi naongelea mtu kumisbehave yani hajui aonekane vipi sehemu flani anabaki kupayuka na kubishana bila mpangilio..
 
na nyie muda wa kuangalia mavipindi ya ajabu ajabu mnatoa wapi????

Daaaaah thnx a lot yan km n pepa ww umescore 99.9% ol n ol km ao wa2 wapo kwel dunian na wanapitaga umu jamvn au wanawa2 wao wawafkshie ujumbe 2 dey hv 2 change 4 gud,,, ovr
 
Iyo kitu niliisoma Ile day! Yani walikutana mambulula alaf waliponiacha hoi walipoanza kudiskas matokeo ya kidato Cha nne! Ilibidi nibadilishe channel coz ilikua Ni shame! Non sense
 

Chezea viroba wewe!
 
Iyo kitu niliisoma Ile day! Yani walikutana mambulula alaf waliponiacha hoi walipoanza kudiskas matokeo ya kidato Cha nne! Ilibidi nibadilishe channel coz ilikua Ni shame! Non sense

hao wenyewe walipata div zero,asa sijui walikua wanadiscuss nin hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…