Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Shalom watu wa Mungu.
Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima.
Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata maarifa mengi sana kutoka kwa wadau mbali mbali, So far ninazinjua account chache sana za viongozi na watu mashuhuri hapa JamiiForums.
Inawezekana kuna baadhi ya vitu vya muhimu sana hawa watu wanavikosa sababu wanapenda zile platform za kuuza sura.
Natoa ushauri pia kwa viongozi wa jukwaa hili kufanya mechanism nzuri inayofaa Kuwaita au kuwashawishi kujiunga na platform hii.
Natamani kuona: Rais Samia Suhuhu Hasan, Mtu kama Milard ayo, Diamond platinums. (Nimewataja hao kwa uchache)
Sababu yangu kuu, Ukiwa na account hapa JF yaani utafanya interaction yako na watu walio makini na wanaweza kukushauri mambo mengi sana, Instagram na kule X naona tu watu wanajaza comments za kipumbavu na matangazo ya bidhaa za followers.
Nimeandika kwa uchache ila nahisi tumeelewana.