Mnyonge Kabisa
Senior Member
- Nov 7, 2018
- 102
- 73
Mkuu huku kwetu tunakula mihogo ya kuchemsha na maisha yanaenda.Hacha kukalili bossMbona haohao clauds ndio wanazidi kujipalia mkaa?
Kuacha kupiga nyimbo za wasafi ni kama kula chakula ambacho hakina mafuta
Swali zuri sana hili.Kwan clouds wana hatimiliki ya wasanii wote,?
INJINIA SOMA NAMBA HIYOOOOOO!Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.
Adhabu hiyo ina lengo la kuwa-discipline wasanii kutoshiriki matamasha tofauti na yanayoendeshwa na clouds.
Ni kweli dogo kateleza kabisa ila clouds ni wauajiTukubali dogo alikosea na kudharau mamlaka
Mara nyingi wakuu wanakuwa na kauli moja ila kuna mmoja ndio anaonekana mbele zaidi mpaka unaweza kusema fulani hausiki kwenye maamuzi haya kumbe si kweli, Ruge, seba maganga, Kusaga pamoja na viongozi wote wa Clouds Media Group wanaongea lugha moja ila Ruge ndio ambaye anatokea kwenye kadamnasi.Mpk nisikie kwa maskio yangu ndo ntaamin
Naamin Kusaga hana maamuzi yakijinga hivi ange kuepo Ruge ningeelewa
Yan wee jamaa,of alllllll avatars,ukaamua umweke huyo porn star.hahahahahah,we utakua mwanachama wa chaputa hai kabsasamaki mmja akioza unamtoa unamtupa..