Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

Clouds akili zao ni kama za bwana yule.
 
Acha uzwazwa watu mbona wanashiriki mzik mnene na wanapigwa cloudz.
 
Ivi mbona mnalalamika utadhani hao CMG ni media house ya Taifa,hao ni wafanyabiashara wana taratibu zao za kazi sio lazima kila msanii ngoma zake zipigwe hapo CMG ndio maana kuna redio station kibao tu Tz hii tabia za kulialia ndio inaonyesha utegemezi wa wasanii wengi kwa CMG,mnapiga kelele kua jamaa ni wanyonyaji lakini mnataka ngoma zichezwe na hao hao PATHETIC.
 
Labda za Dudubaya lakin hata huku nilipo naweza kaa hata miezi sijasikia wimbo wa nature au dully ukupigwa radio yoyote
 
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.

Adhabu hiyo ina lengo la kuwa-discipline wasanii kutoshiriki matamasha tofauti na yanayoendeshwa na clouds.
INJINIA SOMA NAMBA HIYOOOOOO!
 
Mpk nisikie kwa maskio yangu ndo ntaamin
Naamin Kusaga hana maamuzi yakijinga hivi ange kuepo Ruge ningeelewa
Mara nyingi wakuu wanakuwa na kauli moja ila kuna mmoja ndio anaonekana mbele zaidi mpaka unaweza kusema fulani hausiki kwenye maamuzi haya kumbe si kweli, Ruge, seba maganga, Kusaga pamoja na viongozi wote wa Clouds Media Group wanaongea lugha moja ila Ruge ndio ambaye anatokea kwenye kadamnasi.
 
IMG_20181209_221642.jpeg
 
Watapagiwa wasafi fm acha kulia kulia clouds sio radio ya serikali.
 
Hata ningekua Mimi niendelee kupiga wimbo wa Nikki mbishi au afande sele ambao kisa kupata show upande mwingine wakaanza kurusha madongo hovyo!

Mkacheze mnako chezaga!
Nyimbo zenu pelekeni redio ya taifa TBC
[emoji2][emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom