Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

Pumbavu kuwapa wasanii wengine platform ya kuendeleza vipaji ndo nae ajipe platform ya kuimba ufyolo?Fungia shenzi huyo...kumekuwa na manyau ambayo huyu bwana hata aamue kuingia na nguruwe msikitini yatamtetea na ndo hayo yanayompa bichwa hamumjengi kunguru yule amekuwa mtu wa kufanya ujinga mwiiingi ili azungumziwe stupid fungia mwaka mzima ajifunze.
 

Pumbavu babako ndugu
 
Juma Nature alikuwa wasafi Festval na juzi kafanya show kwenye Fiesta.
 
True mkuu...Wabongo bwana..yaani muda mwingine huwa hatueleweki kabisa..mwingine atakuja atakuambia Clouds imekufa and at the same time analalamika nyimbo za baadhi ya wasanii kutokupigwa Clouds..Huu ni zaidi ya UJINGA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…