Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

Teh teh teh teh!!!!!!

Halafu BASATA wanamfungia msanii anayewapa wasanii wenzake platform ya kuendeleza vipaji vyao na kuinua hali zao za kiuchumi pia

Pathetic!!!!

Haya kama ni kweli tunaomba BASATA muingilie kati upuuzi huo na ikibidi fanyeni uchunguzi wenu,ifuatilieni habari hii,ikitokea kama alivyosema mleta ujumbe,Ifungie hiyo redio MILELEE kwa kuwa kazi yao itakuwa ni kuwaharibia future wasanii
Pumbavu kuwapa wasanii wengine platform ya kuendeleza vipaji ndo nae ajipe platform ya kuimba ufyolo?Fungia shenzi huyo...kumekuwa na manyau ambayo huyu bwana hata aamue kuingia na nguruwe msikitini yatamtetea na ndo hayo yanayompa bichwa hamumjengi kunguru yule amekuwa mtu wa kufanya ujinga mwiiingi ili azungumziwe stupid fungia mwaka mzima ajifunze.
 
Pumbavu babako ndugu
 
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.

Adhabu hiyo ina lengo la kuwa-discipline wasanii kutoshiriki matamasha tofauti na yanayoendeshwa na clouds.
Juma Nature alikuwa wasafi Festval na juzi kafanya show kwenye Fiesta.
 
Ivi mbona mnalalamika utadhani hao CMG ni media house ya Taifa,hao ni wafanyabiashara wana taratibu zao za kazi sio lazima kila msanii ngoma zake zipigwe hapo CMG ndio maana kuna redio station kibao tu Tz hii tabia za kulialia ndio inaonyesha utegemezi wa wasanii wengi kwa CMG,mnapiga kelele kua jamaa ni wanyonyaji lakini mnataka ngoma zichezwe na hao hao PATHETIC.
True mkuu...Wabongo bwana..yaani muda mwingine huwa hatueleweki kabisa..mwingine atakuja atakuambia Clouds imekufa and at the same time analalamika nyimbo za baadhi ya wasanii kutokupigwa Clouds..Huu ni zaidi ya UJINGA
 
teh teh teh

punga wahed!!!

Usirukie comment za wanaume kochko
Kocho babayo fungia mbwa huyo mmepaniki mashiga mvaa kikuku mwenzenu kufungiwa mabwabwa nyie.
teh teh teh

punga wahed!!!

Usirukie comment za wanaume kocho wewe!!!
Kocho babayo shoga mwenzenu kafubgiwa mapunga mnataka muandamane aw mnamtetea mvaa kikuku mwenzenu mashoga nyie fungua bwabwa hilo.
 
Back
Top Bottom