Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Ndio maana hujapata reply sababu ya upumbavu DadaHabarini Wana Jf
Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.
Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.
N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
Na hata tukireplay ni vile tu tumeshindwa vumilia upuuzi wakeNdio maana hujapata reply sababu ya upumbavu Dada
Nachojali ujumbe umefikaNdio maana hujapata reply sababu ya upumbavu Dada
Mzee wa Kiki yuleNa hata tukireplay ni vile tu tumeshindwa vumilia upuuzi wake
Endelea kukaza fuvu [emoji23]Wcb still bado mna uchawi na wanga?
Endelea kukaza fuvuSijaelewa.
Kakojoe ukalaleMumeo hakufikishi dada??
Mbona hujawahi hata siku moja kuleta mada ya kumsifia mumeo kwa kukukaza vizuri??
Kutwa kuwasifia tu hao michepuko wako wa Dabliyusibii.
Rayvanny Ni mkubwa kuliko hata boss wa KMWHuyo rayvan kakatiwa shanga na binti wa KMW
Mkuu leta mapicha na mavideo ya show kutoka kwa wasanii wetu matajiri wa kimataifaHabarini Wana Jf
Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.
Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.
N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
Tarehe ya show ya queen darlin na lavalava ikifika nishtue..hawa watu noma kwa kushambulia jukwaaHabarini Wana Jf
Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.
Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.
N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
Nimechelewa picha na video za show walizopiga zikowapi,mbona ujapost Mana Uzi bila picha Wala video haunogi,au Mambo yalibumaHabarini Wana Jf
Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.
Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.
N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
No matter what, numbers don't lie in all digital platformsNasikia Chuzu aliimbia viti Dar live..watu wanataka singeli unaleta sukari[emoji23][emoji23][emoji23]