Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #21
Hakuna haja maana wanajua kucheza na jukwaa wale WCB na NLMMkuu leta mapicha na mavideo ya show kutoka kwa wasanii wetu matajiri wa kimataifa
Shusha maphoto mazeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja maana wanajua kucheza na jukwaa wale WCB na NLMMkuu leta mapicha na mavideo ya show kutoka kwa wasanii wetu matajiri wa kimataifa
Shusha maphoto mazeee
Wanajua sana Kama lavalava mpaka watu walizimia shinyangaTarehe ya show ya queen darlin na lavalava ikifika nishtue..hawa watu noma kwa kushambulia jukwaa
Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji119][emoji125]Nimechelewa picha na video za show walizopiga zikowapi,mbona ujapost Mana Uzi bila picha Wala video haunogi,au Mambo yalibuma
Kwani unatesekaEndelea kukaza fuvu [emoji23][emoji119][emoji125]
Sawa mke wangu nashukuru sana kwa upendo wako[emoji23][emoji125]All in all me nakupenda dada
mkuu unamhahoSawa mke wangu nashukuru sana kwa upendo wako[emoji23][emoji125]
Ok babymkuu unamhaho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikomeshwa na taarabu zake za kutoka kwa mama yake KhadijaNasikia Chuzu aliimbia viti Dar live..watu wanataka singeli unaleta sukari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Ni story za kuambiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikomeshwa na taarabu zake za kutoka kwa mama yake Khadija