Wasanii wote wanaoshiriki Fiesta wanalipwa laki tano kila mmoja

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Chezea Ruge na Kusaga wewe.

Fiesta wasanii wote wa Bongoflavour wanalipwa- laki tano Tano, Hata uwe na Tuzo- Mia, Hit songs milioni.

Clouds hawakulipi- zaidi ya Laki Tano..Kuan zia Diamond ambaye- ndo mnataja- kila saa

Hata uwe una- nyimbo- bora Mia.

Tena hii bei- imeongezwa- kuna miaka walikuwa- wanakula- elfu hamsini.

Madai- ya clouds ni kwamba ukipanda- kwenye stage unapata- shows na wanapiga promo nyimbo zako.

Wakati jamaa wakila- ma billions Kwa sponsors Serengeti- na hela za viingilio.

Jamani hii sio gossip it's a Fact wasanii- Kwa style hii- wengi wataendelea- kuwa na hali ngumu then mmwaseme- wanauza- ticket Airport.
 
Majungu tu hapo. Wabongo maneno bila ushahidi siku zote..lete ushahidi basi...
 
Laki 5 kwa Show moja au Zote hizo wanazozunguka? Kama kwa moja sio mbaya maana nimeona kina Young kila wamepiga show zote za fiesta kama show 15 ana 7.5m hapo.
 
Mmmh. SAsa kama show moja mtu anapewa laki5 mbona wanajitapa vle wandugu? Kuna kajamaa kaliuliza nguo alizovaa et laki7 nkachoka mie! Loh
 
Halafu ukiwa msanii unayejitambua wanakutosa mazima kuanzia show hadi promo redioni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Laki 5 kwa Show moja au Zote hizo wanazozunguka? Kama kwa moja sio mbaya maana nimeona kina Young kila wamepiga show zote za fiesta kama show 15 ana 7.5m hapo.

Hiyo siyo hela kwa shoo zote 15...hapo nguo na mazaga mengine mengine + tungi kwa wana anaweza baki na kama jiwe mbili 2k. tu that's bu**shit
..!fiesta walanguzi kama wezi wengine tu. Ova.
 
Kwani wanashikiwa bastola ili waingie huko? Halafu hakuna under age hapo???
 
Kuna msanii jina (kapuni) wamepiga shoo huko mby jana anablame matumizi yamekuwa mengi kuliko hiyo hela 5k. Wanayoingiziwa ..so anadai ni kama wanafanya kazi ya kanisa..!

wakimjua ndo imekula kwak
 
Mwaka juzi jide alikataa laki 7 yao na ni moja ya sababu za kugombana nae, hata ruge alikiri hilo
 
Nyie hio laki 5 ata kwa mwezi hampati yeye anaipata kwavkuimba dakika 10-15 bado mnapiga majungu.

hiyo laki 5 kwa mikoa 18 zidisha hapo......

brain corrupt, my God! Ndo mana unawaza kua na mi and not the heavy one bi jaribu kufikiria usanii sio kama vlie ni kuajiriwa sehemu flan kipaji nacho huchokwa na ndo maana weng hawadumu miaka kumi wanarud kwenye ukapuku tarent should be the most expensive thng ok!
 
Hili nalo ni neno

Haya ni majungu tu. Ukinambia wanalipwa kidogo nakubaliana na wewe kwan hata nyimbo wanazoimba hazizidi nyimbo 2. Lakini sio kwa kiwango cha laki 5. Na wasanii wote hawapo katika kiwango sawa kwan kila mtu anasaini mkataba peke yake kwa makbaliano. Huwezi kusema eti Diamond atakula mpunga sawa na Bk Sunday au Young Killer mmoja underground mwingne anapanda jukwaani akiwa single eti wale sawa na dangote anayepanda na mastage show wake 4 na tim nzima otherwise utakua na chuki na clouds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…