Wasanii wote wanaoshiriki Fiesta wanalipwa laki tano kila mmoja

Haya ni majungu tu. Ukinambia wanalipwa kidogo nakubaliana na wewe kwan hata nyimbo wanazoimba hazizidi nyimbo 2. Lakini sio kwa kiwango cha laki 5. Na wasanii wote hawapo katika kiwango sawa kwan kila mtu anasaini mkataba peke yake kwa makbaliano. Huwezi kusema eti Diamond atakula mpunga sawa na Bk Sunday au Young Killer mmoja underground mwingne anapanda jukwaani akiwa single eti wale sawa na dangote anayepanda na mastage show wake 4 na tim nzima otherwise utakua na chuki na clouds.

Huijui biashara ya Muzik wa Bongo!
 
Huijui biashara ya Muzik wa Bongo!

Hata kama siijui lakini huo ni udaku wa kwenye magazeti ya gpl. Usilete habari za kwenye vijiwe vya kahawa hapa jf ukafikiri kila mtu atakubaliana na huo upuuzi wako.

Wabongo tuna kawaida ya kupiga majungu kila penye mafanikio ya watu.
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kuna msanii jina (kapuni) wamepiga shoo huko mby jana anablame matumizi yamekuwa mengi kuliko hiyo hela 5k. Wanayoingiziwa ..so anadai ni kama wanafanya kazi ya kanisa..!
 
Nyie hio laki 5 ata kwa mwezi hampati yeye anaipata kwavkuimba dakika 10-15 bado mnapiga majungu.

hiyo laki 5 kwa mikoa 18 zidisha hapo......

mkuu stunna huwez kufananisha ajira na kipaji ndyo maana wakina Rooney walikuwa vilaza shuleni lkn Leo wanakula hela ndefu
 
Last edited by a moderator:
Sasa laki tano mara wasanii ishirini naaaa.......sema mtoa mada ungeweka ushahidi ningejua sio umbea now hata siwezi piga stori sehemu nikasema eti wasanii fiesta nasikia huwa wanalipwa laki 5.Watu watajua nimetumwa tuu.:A S-eek:
 
Sambaza upendo...twendezetu!! Chezea ruge ww
 
mkuu stunna huwez kufananisha ajira na kipaji ndyo maana wakina Rooney walikuwa vilaza shuleni lkn Leo wanakula hela ndefu

Uimbaji wenyewe inawekwa CD ya nyimbo yake harafu yeye anakuwa anamumunya maneno lakin maneno ya cd ndio yanasikika.

wanastahili hiyo laki 5
 
Last edited by a moderator:
brain corrupt, my God! Ndo mana unawaza kua na mi and not the heavy one bi jaribu kufikiria usanii sio kama vlie ni kuajiriwa sehemu flan kipaji nacho huchokwa na ndo maana weng hawadumu miaka kumi wanarud kwenye ukapuku tarent should be the most expensive thng ok!

uimbaji wenyewe CD ya nyimbo yake inawekwa yeye anapiga kelele mikono juu.Nyimbo inaimba ya kwenye cd.Yeye kazi yake ni kushika sehemu za siri kwenye suruali

kwa uimbaji huo unataka alipwe ngap?
 
Hahahaaa......yaani hawajitambui wasanii wa bongo wanaojitambua wanalipwa vizuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
uimbaji wenyewe CD ya nyimbo yake inawekwa yeye anapiga kelele mikono juu.Nyimbo inaimba ya kwenye cd.Yeye kazi yake ni kushika sehemu za siri kwenye suruali

kwa uimbaji huo unataka alipwe ngap?

Mkuu tuliwahi ambiwa hapa Domo anavuta zaidi ya 20 mils kwa hiyo shoo moja tu ya fiesta...

Ndo maana watu wanashangaa
 
Hapana si kweli.Show za Diamond gharama inakuwa kubwa kama umeandaa show moja tu lakin ukiwa na mkataba na show labda kuanzia 5 gharama inapungua.

Yeye mwenyewe anajua hali ilivyo promota uwezi tumia ela yote kumlipa tu.Pia bei inategemea na sehemu ipi atapiga show mfano show za ulaya nyingi zinafanyika sebleni hivyo malipo ni madogo
 
Inakatisha tamaa vijana wetu
 
kumbee
mishauo shauo yote ilee
 
Tumeingizwa kwenye katiba,tunasubiria mda wa kufanya kampeni ambayo clouds itapewa tender tukapigie chepuo serikali mbili!!!
 
Hapana si kweli.Show za Diamond gharama inakuwa kubwa kama umeandaa show moja tu lakin ukiwa na mkataba na show labda kuanzia 5 gharama inapungua.

Yeye mwenyewe anajua hali ilivyo promota uwezi tumia ela yote kumlipa tu.Pia bei inategemea na sehemu ipi atapiga show mfano show za ulaya nyingi zinafanyika sebleni hivyo malipo ni madogo

Sasa show ya sebuleni anasema analipwa $10000 hpo muandaaji anapata watu kiasi gani aweze rudisha cost yke mana sebule haiwezi beba watu 200,kweli maisha yke ni fekero 2
 
hiyo $ 10,000 ni kwa show 4, uwezi pata kwa show moja tu labda Tanzania.

Gharama za kuandaa show nje ni kubwa inabid waty uwalipe vizuri,maandalizi gharama.

show zenyewe zinafanyika seblen
 
Jamaa yetu anasema show yke abroad analipwa 10000$ ndio mana billionea bila mkwanja huo apigi show
 
Uimbaji wenyewe inawekwa CD ya nyimbo yake harafu yeye anakuwa anamumunya maneno lakin maneno ya cd ndio yanasikika.

wanastahili hiyo laki 5

Ila akija Rick Ross akaweka iyo CD na kufanya play back kama H.Baba uku akisema "make some noise....yeaaah maza faka..." Alipwe million 100 acha masikhara na kazi za watu sio kwamba wanapenda ila ndo vile mnyonyaji kawakalia kooni huwezi mlipa msanii laki 5 tena kaja ni timu yake na unataka apendeze,misosi na aonekane msanii na kumbuka anatoka home kuna watu wanamtegemea.
 
Back
Top Bottom