MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Haya ni majungu tu. Ukinambia wanalipwa kidogo nakubaliana na wewe kwan hata nyimbo wanazoimba hazizidi nyimbo 2. Lakini sio kwa kiwango cha laki 5. Na wasanii wote hawapo katika kiwango sawa kwan kila mtu anasaini mkataba peke yake kwa makbaliano. Huwezi kusema eti Diamond atakula mpunga sawa na Bk Sunday au Young Killer mmoja underground mwingne anapanda jukwaani akiwa single eti wale sawa na dangote anayepanda na mastage show wake 4 na tim nzima otherwise utakua na chuki na clouds.
Huijui biashara ya Muzik wa Bongo!