Wasaniii wenye vipaji Tanzania ila hawajui kuvitumia ipasavyo-part 1

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
straight to the point above:

1. Ali Kiba

wewe jamaa unamavocal,masauti,na pengine unapendwa sana kazi zako..ila umeshindwa kabisa kukaa kwenye game na kujitangaza ipasavyo.

2.Lulu MIchael Elizabeth

sidhani kama unajitambua vema,may be uzi huu utakufungua.

3.WEma Sepetu

Hili limeshazungumzwa sana hapa jamvini kuhusu uyu mdada,ata ndomo alipost insta.

4.Banana Zoro

kati ya wasanii wa muziki ambao walipaswa kuwa level za You soon Doo (sory kama nimekosea) ni wewe,lakini umebweteka mwenyewe unafanya vilive show vya buku 5 ijumaa ukaridhika.unaniangusha sana kiumbe.

5.Young Killer

Dogo ungekua level za Weezy saa hizi..ebu kaza boo basi

6.Ya Moto Band

Hawa labda niendelee kuwapa muda.

7.Jokate Mwegelo

Tokea nakuona chuo mlimani,niliona ulipaswa kuwa sehem fulani...hadi sasa bado naona ulipaswa kuwa somewhere else..but ur not doing so...una shida gani?mara malapa,mara bongofleva,mara mc mara talkshow..huelewek unataka nini..iyo pspa degree unaitumia vema kweli?ebu tafuta kazi ubalozini huko ukae kimyaa uzae uolewe

8.Barnaba

wewe jamaa huwa unaweza sana,ile colabo yako na Falii vipi?au hufuatilii?mkabe mzeee...acha kuridhika kiduwanzi

jamani naomba msinitajie list ya vilaza walio nje ya list hii...hawa ndio wasanii wanaoendana na title iliyopo juu..kama una wako waanzishie uzi...part 2 inakuja.

9.Q Chilla

Huyu jamaa kwishnehi kwa sasa,ila ni msanii mzuri asiejua apite wapi,pole yake

c.c warumi
 
Hii thread ifanyie editing kubwa, kwenye category ya Wanamuziki hapo mweke Ali Kiba, Banana Zoro na Barnaba hata Q Chila pia

Category ya pili kundi la malaya waliokubuhu
1. Wema

2. Jokate

3. Lulu

Ya Moto band tuwape muda utasema.
 
Qchilla si alisema amelogwa, kwa Kiba kweli hata mimi sielewi nini shidaa, kijana anauwezo mkubwa hivi ( ) lakini hakick kivile yani kila akifurukuta inakuwa ji kawaida saaaaaaaanaaaaa, hata huyu mwanadaslam watu wamevua hadi nguo kumpromote, watu wamepiganaaaa lakini waaaaala, wimbo mzuri, sauti tamuu uuuwii hakugana kama yeye mashairi kiwango na ujumbe unaeleweka lakini badooooooo, na ndio maana anapanic akimcheki mdogo wake ndomo mchafu kuoga wa tandale tena wa juzi tuu hapa, tena aliye
toa yeye anamkimbiza mbayaa. inauma sana, ila kiba usijali hata wakukimbizeje mkali utabaki kuwa weweee daimaaaaa!!!!!
 
straight to the point above:

1. Ali Kiba

wewe jamaa unamavocal,masauti,na pengine unapendwa sana kazi zako..ila umeshindwa kabisa kukaa kwenye game na kujitangaza ipasavyo.

2.Lulu MIchael Elizabeth

sidhani kama unajitambua vema,may be uzi huu utakufungua.

3.WEma Sepetu

Hili limeshazungumzwa sana hapa jamvini kuhusu uyu mdada,ata ndomo alipost insta.

4.Banana Zoro

kati ya wasanii wa muziki ambao walipaswa kuwa level za You soon Doo (sory kama nimekosea) ni wewe,lakini umebweteka mwenyewe unafanya vilive show vya buku 5 ijumaa ukaridhika.unaniangusha sana kiumbe.

5.Young Killer

Dogo ungekua level za Weezy saa hizi..ebu kaza boo basi

6.Ya Moto Band

Hawa labda niendelee kuwapa muda.

7.Jokate Mwegelo

Tokea nakuona chuo mlimani,niliona ulipaswa kuwa sehem fulani...hadi sasa bado naona ulipaswa kuwa somewhere else..but ur not doing so...una shida gani?mara malapa,mara bongofleva,mara mc mara talkshow..huelewek unataka nini..iyo pspa degree unaitumia vema kweli?ebu tafuta kazi ubalozini huko ukae kimyaa uzae uolewe

8.Barnaba

wewe jamaa huwa unaweza sana,ile colabo yako na Falii vipi?au hufuatilii?mkabe mzeee...acha kuridhika kiduwanzi

jamani naomba msinitajie list ya vilaza walio nje ya list hii...hawa ndio wasanii wanaoendana na title iliyopo juu..kama una wako waanzishie uzi...part 2 inakuja.

9.Q Chilla

Huyu jamaa kwishnehi kwa sasa,ila ni msanii mzuri asiejua apite wapi,pole yake

c.c warumi
Uyo ni mwimba ngonjera, usimfananishe na wizzy........Ukizungumzia wakali wa mitambao level izo mtafute kuna dogo anaitwa Gozbii anajua sana alafu mnyama mnyama namuelewa sana uyo bingwa kwangu ndio kendrick lamar wa bongo.

9k=
 
Back
Top Bottom