Wasemaje wanasema................

Wasemaje wanasema................

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
A way to a man's heart is through his stomach................. Kwa tafsiri yangu ya elimu ya ngumbaru ni kuwa ukiwa mpishi mzuri wa chakula, basi umewin moyo (mapenzi) wa mpenzi/mume wako.......

Najaribu kuwaza
1. Je kuna ukweli katika usemi huu....................?
2. Kama ni kweli, unatuweka wapi katika dunia ya sasa ambayo mpishi/mtengenezaji wa chakula hiki si mke/mpenzi bali ni mdada wa kazi??
Kina kaka how effective is this kwenye kapu lenu la mahusiano?

hamjambo lakini?
 
Kama kupika ni carrying then kuna ukweli kidogo...
 
mpishi wa chakula kipi?
Cha usiku?

Anyway, hata kama hausigelo anapika vizuri, sifa kwa maza hausi sababu ndo anasimamia.
 
Back
Top Bottom