A way to a man's heart is through his stomach................. Kwa tafsiri yangu ya elimu ya ngumbaru ni kuwa ukiwa mpishi mzuri wa chakula, basi umewin moyo (mapenzi) wa mpenzi/mume wako.......
Najaribu kuwaza
1. Je kuna ukweli katika usemi huu....................?
2. Kama ni kweli, unatuweka wapi katika dunia ya sasa ambayo mpishi/mtengenezaji wa chakula hiki si mke/mpenzi bali ni mdada wa kazi??
Kina kaka how effective is this kwenye kapu lenu la mahusiano?
hamjambo lakini?