NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ndio maana wanamuita NJITI au kirikuu,sababu akili hana ila sio kosa lake kosa ni ule mwiko uliokuwa kule nyuma maana ndio siri ya watu wote wa yanga kukosa akili,maana ukifika tu lazima uchomekwe mwiko kwanza...Bwana mdogo Ally kamwe naona umeomba msamaha Baada ya kuzungumza kauli ya kijinga na isiyo faa ya kusema kwamba "ukipewa mgunda na andazi unachagua andazi"
Hii ni kwa wasemaje wote mnaotaka likes, comments na kiki kutoka kwa mashabiki wa hizi timu.
Nikiwa Kama shabiki namba moja wa Yanga kauli Kama hii ya kipuuzi naipinga vikali mno japokuwa Ally kamwe Kuna wazee wa busara wamekufata na kukusihi uombe radhi kwa ujinga (upumbavu) uliotamka.
Utani wenu msihusishe makocha wasiokuwa na kelele Wala kuwakejeli.
Huwa hauwezi ku comment kistaraabu? kuropoka matusi ndio kujiona mjanja ?Ndio maana wanamuita NJITI au kirikuu,sababu akili hana ila sio kosa lake kosa ni ule mwiko uliokuwa kule nyuma maana ndio siri ya watu wote wa yanga kukosa akili,maana ukifika tu lazima uchomekwe mwiko kwanza...
Kule Instagram nili comment hivi hivi kwamba Huyo boya Ally hana Mwendo ataondoka Kwa maslahi mapana ya timu.Kwa Maslahi mapana ya klabu, huyo Ali Kamwe aondolewe mapema kwenye hiyo nafasi. Iko siku ataropoka jambo kubwa zaidi ya hilo.
Naunga mkono hoja yako. Wasemaji wa hizi timu 2 hawatoshi au nafasi walizopewa ni kubwa Sana. Mwenzake mwezi uliopita aliita watu walio hai Maiti.Bwana mdogo Ally Kamwe naona umeomba msamaha baada ya kuzungumza kauli ya kijinga na isiyofaa ya kusema kwamba "ukipewa Mgunda na andazi unachagua andazi"
Hii ni kwa wasemaje wote mnaotaka likes, comments na kiki kutoka kwa mashabiki wa hizi timu.
Nikiwa kama shabiki namba moja wa Yanga kauli kama hii ya kipuuzi naipinga vikali mno japokuwa Ally Kamwe kuna wazee wa busara wamekufata na kukusihi uombe radhi kwa ujinga (upumbavu) uliotamka.
Utani wenu msihusishe makocha wasiokuwa na kelele Wala kuwakejeli.
Kweli kabisa yaani sisi wenyewe tukiwa kijiweni hatuwezi kuleteana kejeli Kama hiziHuu ni upumbavu, mpira sio vita wala uadui.
Vijana wadogo wanalewa sifa mapema huku wakisahau wajibu wao.
Kuomba msamaha tu haitoshi ilipaswa apigwe rungu na mamlaka ili ajifunze uungwana kama walio nao baba zake Thobias Kifaru na mwenzake Masau Bwire.
Nidhamu kubwa huwezi kuta wanazungumza ushubwada na upuuzi Kama wanavyoropoka wasemaji wa Simba na yanga.wajifunze kwa maafisa habri bora kama Thobias Kifaru, Masau Bwire. Dismas Ten, Jafar Idd Maganga. Deokaj Makomba, Juma Nkamia, maafisa habari wa timu za majeshi nk
Wapuuzi tu haoNaunga mkono hoja yako. Wasemaji wa hizi timu 2 hawatoshi au nafasi walizopewa ni kubwa Sana. Mwenzake mwezi uliopita aliita watu walio hai Maiti.
Narudia kwa Mara nyingine, Masao Bwire na Kifaru hawa ndio wasemaji bora kabisa, Simba na Yanga wameliwa, wana machawa tu hakuna wasemaji.Bwana mdogo Ally Kamwe naona umeomba msamaha baada ya kuzungumza kauli ya kijinga na isiyofaa ya kusema kwamba "ukipewa Mgunda na andazi unachagua andazi"