NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Bwana mdogo Ally Kamwe naona umeomba msamaha baada ya kuzungumza kauli ya kijinga na isiyofaa ya kusema kwamba "ukipewa Mgunda na andazi unachagua andazi"
Hii ni kwa wasemaje wote mnaotaka likes, comments na kiki kutoka kwa mashabiki wa hizi timu.
Nikiwa kama shabiki namba moja wa Yanga kauli kama hii ya kipuuzi naipinga vikali mno japokuwa Ally Kamwe kuna wazee wa busara wamekufata na kukusihi uombe radhi kwa ujinga (upumbavu) uliotamka.
Utani wenu msihusishe makocha wasiokuwa na kelele Wala kuwakejeli.