Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hata kichaa ana afadhali, Mange ni zaidi ya kichaa, binadamu timamu anayejitambua hawezi kuwa na tabia kama za huyu dada aisee. Ninachomshangaa yeye ana augonvi na kila mtu, yani kila mtu ni mbaya kwake, kutwaaa anafuatilia maisha binafsi ya watu na kutukana tuuu bila sababu, sasa sijui nini kinamsumbua maskini ya rabi.