Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Tweet mbali mbali wasemavyo watu kuhusu the magician ,le general ,the shy and humble human being down to earth ,ustaadh N'golo Kante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hater mmoja humu anajiita denooJ anamchukia Kante na Chelsea yote! Yaani huyu jamaa hata umwambie Kante fundi, atakataa kwakuwa Kante yupo Chelsea!Ukimchukia kante utakuwa mchawi[emoji1787]View attachment 1802627View attachment 1802628View attachment 1802629View attachment 1802630View attachment 1802631View attachment 1802632View attachment 1802633View attachment 1802634View attachment 1802635View attachment 1802639View attachment 1802640View attachment 1802641View attachment 1802642View attachment 1802643View attachment 1802644View attachment 1802645View attachment 1802646View attachment 1802647View attachment 1802648
Kante ni mfano wa kuiga katika ma celebrity wetu hapa bongo, wana siasa na wa somi wetu being humble does not cost you anything in life, Mungu anatutoa mbali sanaTweet mbali mbali wasemavyo watu kuhusu the magician ,le general ,the shy and humble human being down to earth ,ustaadh N'golo kante[emoji1]
View attachment 1802618View attachment 1802619View attachment 1802620View attachment 1802622View attachment 1802623View attachment 1802621View attachment 1802624View attachment 1802625View attachment 1802626
Kante ni mfano wa kuiga katika ma celebrity wetu hapa bongo, wana siasa na wa somi wetu being humble does not cost you anything in life, Mungu anatutoa mbali sana
Angalia Kante aliko anzia maishaView attachment 1802932
Lampard alikua hamtaki kante alikua analazimisha bodi imsajili RICE kuna mechi nying kante hajacheza chini ya Lampardkipindi cha lampard alimuamini huyu mtu ?
Umepiga cha A town si bureKiungo Mukoko pasi na Shaka ndiye kiungo mkabaji Bora kwa msimu huu vpl.Ni kiungo anaye cover uwanja kwa eneo kubwa bila kuchoka na kuendesha timu ,no viungo wachache wana calibre hio Kama Ngolo Kante ,Mukoko na ndio maana Mukoko ameweza kuitwa na kucheza kwenye timu ya taifa ya Congo yenye ushindani mkubwa.
Namuona Kante ndani ya Mukoko na namuona Mukoko ndani ya Kante.