Wasemavyo watu kuhusu N'golo Kante

Wasemavyo watu kuhusu N'golo Kante

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Tweet mbali mbali wasemavyo watu kuhusu the magician ,le general ,the shy and humble human being down to earth ,ustaadh N'golo Kante

Screenshot_20210530-152640.jpg
 
Kante ni mfano wa kuiga katika ma celebrity wetu hapa bongo, wana siasa na wa somi wetu being humble does not cost you anything in life, Mungu anatutoa mbali sana
Angalia Kante aliko anzia maisha
Screenshot_20210530-085535.jpg
 
Kiungo Mukoko pasi na Shaka ndiye kiungo mkabaji Bora kwa msimu huu vpl.Ni kiungo anaye cover uwanja kwa eneo kubwa bila kuchoka na kuendesha timu ,no viungo wachache wana calibre hio Kama Ngolo Kante ,Mukoko na ndio maana Mukoko ameweza kuitwa na kucheza kwenye timu ya taifa ya Congo yenye ushindani mkubwa.

Namuona Kante ndani ya Mukoko na namuona Mukoko ndani ya Kante.
 
Umepiga cha A town si bure
 
Back
Top Bottom