Wasemavyo watu kuhusu N'golo Kante

kipindi cha lampard alimuamini huyu mtu ?
 
Kante ni mfano wa kuiga katika ma celebrity wetu hapa bongo, wana siasa na wa somi wetu being humble does not cost you anything in life, Mungu anatutoa mbali sana
Angalia Kante aliko anzia maisha
 
Kiungo Mukoko pasi na Shaka ndiye kiungo mkabaji Bora kwa msimu huu vpl.Ni kiungo anaye cover uwanja kwa eneo kubwa bila kuchoka na kuendesha timu ,no viungo wachache wana calibre hio Kama Ngolo Kante ,Mukoko na ndio maana Mukoko ameweza kuitwa na kucheza kwenye timu ya taifa ya Congo yenye ushindani mkubwa.

Namuona Kante ndani ya Mukoko na namuona Mukoko ndani ya Kante.
 
Uchafu mtupu [emoji23][emoji23]
 
Umepiga cha A town si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…