Habari zenu ndugu zangu wanajukwaa.
Nikifahamu kwamba humu ndani ya jukwaa wapo watu wa namna mbalmbalii na experience mbalimbali, leo nawaomba wale waliopitia seminary tukutane hapa tujikumbushe masifu, sijui nani anajua ni juma la ngapi hata hivyo.
Tafadhali wale mliopita pale Uru seminary, Nyegezi seminary, Itaga seminary, Consolata sem, St. James seminary, Visiga sem, Makoko sem n.k njooni hapa.. Hata kama ulipata wito tofauti na lengo la seminary njoo tupeane uzoefu wa huko ulipo.
Ee bwana uifungue midomo yetu.