Waseminari wote tukutane hapa

Waseminari wote tukutane hapa

swahiba daima

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
97
Reaction score
10
Habari zenu ndugu zangu wanajukwaa.

Nikifahamu kwamba humu ndani ya jukwaa wapo watu wa namna mbalmbalii na experience mbalimbali, leo nawaomba wale waliopitia seminary tukutane hapa tujikumbushe masifu, sijui nani anajua ni juma la ngapi hata hivyo.

Tafadhali wale mliopita pale Uru seminary, Nyegezi seminary, Itaga seminary, Consolata sem, St. James seminary, Visiga sem, Makoko sem n.k njooni hapa.. Hata kama ulipata wito tofauti na lengo la seminary njoo tupeane uzoefu wa huko ulipo.

Ee bwana uifungue midomo yetu.


 
Waseminari mliohasi mkachepuka au mlioendelea na upadri kuwa wazi
 
Mkuu we ulipotia Seminary ipi?...mambo ya masifu na kuimba kwaya...siku za nyali na kuongoza njia ya msalaba!!...."kuiba" miwa bustani ya masista!!I miss those old good days
 
Mimi nilisma Itaga Seminary, Nakumbuka wimbo wa ......Twakusifu Mungu Mkuu,Bwana twakuinamia...
Nakumbuka maeneo ya Misha, Igombe, Parokiani Itaga bila kumsahau Gombera wangu askof mkuu Paul Ruzoka wa Arch, Diocese Of Tabora
 
Back
Top Bottom