Waseminari wote tukutane hapa

Waseminari wote tukutane hapa

Kumbuka sheria ya mtandao imepitishwa hilo ni kosa unastahili kufungwa miaka kumi.

Hivi mtu kuishi na mwanamke usiyemuoa ni uzinzi au ni nini?mi sijaona tusi
 
swahiba daima
Mbona hujataja Islamic seminaries?
Si ungesema tu Christian seminary?
 
Last edited by a moderator:
IFRS
Huo ni uasherati ila kulala na mke wa mtu ndio uzinzi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bugema ii umenikumbusha Misha. Ni kweteu huko. Aaaah yaani we acha tu.
 
Last edited by a moderator:
hizi mada za waseminari huwa zinajirudia rudia sana JF.mkitaka mkutune na mtambuane anzisheni group la whatsapp.
 
Tutalisifu jina la Bwana milele .Maua Seminary jamani tupo pia.
Enzi za brother Muchunguzi,Fr Kinyaia siku hizi askofu, Fr Mbundo,Fr Placidius and Sister....
 
Back
Top Bottom