Waseminari wote tukutane hapa

Waseminari wote tukutane hapa

swahiba daima
Mbona hujataja Islamic seminaries?
Si ungesema tu Christian seminary?

ukitaja seminary tu iko waz inajulikan ni za kikatoliki,ndo maana hat hap hujaon lutheran,
hizo zot n catholic seminary

islamic seminary hay majin tu hapo hakuna seminary et mtamban,ridhiwaa,ubungo, hazin hata hadh ya nukta kuitwa seminary
 
Last edited by a moderator:
ukitaja seminary tu iko waz inajulikan ni za kikatoliki,ndo maana hat hap hujaon lutheran,
hizo zot n catholic seminary

islamic seminary hay majin tu hapo hakuna seminary et mtamban,ridhiwaa,ubungo, hazin hata hadh ya nukta kuitwa seminary

Na Agape Lutheran na Morogoro juniour seminary je?

Nini kinafanya shule iitwe seminary?
 
Na Agape Lutheran na Morogoro juniour seminary je?

Nini kinafanya shule iitwe seminary?

agape wanasoma wakin juma,mohamed unaitaje seminary hiyo xam to moro junior muulize zaid msabila atakwambia

seminary huwa hatufeli daima kwa mpango wa mungu
 
agape wanasoma wakin juma,mohamed unaitaje seminary hiyo xam to moro junior muulize zaid msabila atakwambia

seminary huwa hatufeli daima kwa mpango wa mungu

Hahaha...kwahiyo kwny catholic seminaries hakuna waislam na hakuna kufeli kbs?
 
Seminary ni shule ya Kikatoliki inayowaandaa vijana wa Kikatoliki Kiimani na Kiroho ili hapo baadae waje kuwa Mapadri.
 
Nakumbika enzi zetu pale st Joseph Kilocha Seminary tulikuwa tunaogopwa academically nyanda za juu kusini kama ukoma...I like Seminary
 
dah nimesahau seminary nlosoma ila nakumbuka nliwah kuitwa mseminary
 
Itaga seminary hapaaa nakumbuka nilitupa joho dakika za mwishooo
 
MKUU kama vile nnakukumbuka.Mimi nilikuwa house ya Ujamaa.daa those days!!! Pionjar,brother kisiki...Fr Kinyaia(askofu now) morata(amefariki mwaka Jana)topolino

Nilikuwa Umoja toka form one. Form five nikawa House Perfect. Niliongoza kwa mafanikio sana. Gardens zetu zilitoa mbogamboga hadi nyingine wakawa wanauza Dar.
 
Mkuu kuna zaburi moja ya inasema ndama kucheza na mwanasimba na kuyachezea majoka huo ndio ukuu wa Mungu ilikuwa inachekesha sana...

Hizo sala ukiwa unasali usiku ule muda wa kwenda kulala ni full usingizi. Mbaya zaidi mtu aanzishe sala kwa kuimba, kanisa zima litasonya.
 
Hizo sala ukiwa unasali usiku ule muda wa kwenda kulala ni full usingizi. Mbaya zaidi mtu aanzishe sala kwa kuimba, kanisa zima litasonya.

Masifu acha kabisa tune zinazingua sana...! Asubuhi mtu unatia tune mara utasikia watu wanawika ikiwa juu...!
 
Back
Top Bottom