Morning prayers, Angelus, Benediction to the blessed sacrament, Joint mass pisi zikija hiyo siku unatafuta trouser kimodo una achana na bwanga.
Ligi za kuimba kwaya. Hapo baada ya evening prayers au rozari mnabaki kwa mazoezi ya kwaya. Siku yenu ya kuimba ikifika mnacheza kwa vibe na kelele sana.
Ligi za mpira kugombea Nguruwe, Hii ilikuwa mitanange ya patashika nguo kuchanika hasa zikikutana timu za Form 6 .Vs .Form 4. (O level Vs A level)
Mavuno day, Founders day, kuiba matunda orchard hasa ndizi na maparachichi kuyavundika domu siku za wali unatimba nayo Refectory(Dining hall)..
Misemo uchwara ya discipline is about order, Punctuality everywhere. Adhabu za kukomoana...😄😄