Wash before wearing

Mambo vp mamito,
Umenivunja mbavu,hujui kazi ya chupi jaman lol!
 
Dah!kiukweli hii ni hatari sana,
Ila mungu mkubwa kwan enzi hizo tukiwa huko kijijin na utoto ndio kabisa tunavaa hata lebo hatutoi mungu akatuepusha,
Ila sasa hata wamama na wadada wenye watoto wawe wanazifua hizo chupi kabla ya kuwavisha,
Asante mtoa mada kwa kutukumbusha.
 
ni za nini best watu wanavaa hadi usiku wamelala jamani?
 
ni za nini best watu wanavaa hadi usiku wamelala jamani?
Hahahaha!
Wakati wa kulala ki ukweli haitakiwi ili kuuachia utukufu uape japo hewa kidogo,
Ila unapotoka pale pa hala panatakiwa kivishwa kitu ndio maana chupi zipo best yangu,
Cha msingi tununue mpya na kuzifua kabla?
Unataka kunambia ww huvaagi kbs?!
 
mmh hii ni hatari kubwa, ss ni mitumba tu au hata za dukani jaman??
embu nisaidiwe hapo.
 
mmh hii ni hatari kubwa, ss ni mitumba tu au hata za dukani jaman??
embu nisaidiwe hapo.

Obsesd,

Unakuta hizi nyingine zilikuwa vidhibiti mahakamani huko majuu, labda marehemu aliuwawa au alikufa mazingira ya kutatanisha si unajua huwa hazipigwi soap soap hadi kieleweke? sasa zinatua tu mbongo anavaa fasta ana enda out.
 
loh kumbee jaman mmmh masikin wee.
tutapona kwelii mmh??
yan huruma kweli kwa wanaovaa mtumba jaman tena underwear mmh, hawa wanatakiwa waziloweke iz na maji ya moto sijui yan hata sielewi mmh.
 
mmh hii ni hatari kubwa, ss ni mitumba tu au hata za dukani jaman??
embu nisaidiwe hapo.

Kwa uhakika wa usalama zaidi we fua tu bana,...
Haukuwepo kiwandani walipo kuwa wanazifunga.

Cha muhimu zaidi pia ni kunyoosha kabla ya kuvaa,..what a challenge.
 
loh kumbee jaman mmmh masikin wee.
tutapona kwelii mmh??
yan huruma kweli kwa wanaovaa mtumba jaman tena underwear mmh, hawa wanatakiwa waziloweke iz na maji ya moto sijui yan hata sielewi mmh.

Nakumbuka nilikiwa o-level niliwahi nunua taulo mtumbani.
Baada ya kutumia nilipata mba ajabu kweli.
 
Clemmy,Basi ndo uanze kufua maana mambo yenyewe ndo kama hivi sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…