Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Mambo vp mamito,hata kama umefua bwana? Yaani nyingine za mtumba ukicheki pale centre rangi inakuwa haieleweki
lakini mkuu maisha ni magumu chupi nzuri ya kike ni 5000 kwenda juu
wanawake wengi hawamudu ila heri wakae tu uchi kuliko kuvaa magonjwa.kwani chupi ina kazi gani kwanza ?
Umenivunja mbavu,hujui kazi ya chupi jaman lol!