Wimbo gani huo wa diamond
Kama ndo huyo dogo basi anatafuta jina tu,kwanza alitoa wimbo unaitwa diamond,sasa kama ndo yeye tena anadai kachukuliwa wimbo wake basi ni mwehu tu,angekuwa mwingine tungejiuliza.Huyu dogo alishawai kutoa wimbo unaitwa Diamond, anamsifia Dai wimbo mzima. Naona kaamua akomae afanye Dai ndio mtoko.
Huyu dogo alishawai kutoa wimbo unaitwa Diamond, anamsifia Dai wimbo mzima. Naona kaamua akomae afanye Dai ndio mtoko.
@ Viol @ Ruttashobolwa ndio huyo huyo.
Huyu dogo hana shukrani yani ana kubali kutumika kumchafua diamond...! Kwanini hakusema pale ulipotoka ana subiri hadi leo?
Anatafuta short cut ya kutoka, ana njaa ya kutoka.
Sikutegemea yeye kufanya jambo hili.
Kwa music ilivyo hivi sasa ukisikia mtu anatafuta kick kwa njia yoyote usishangae... Muziki umekuwa mgumu sana kutoka imekuwa sio ishu rahisi wasanii wakubwa tupu wanachanganyikiwa itakuwa awa madogo.
Huyu Dogo naye kakosea target alitakiwa kusema siku ilipo toka video..sasa anasema leo hata kichaa anajua alikuwa ana jipanga..halafu kibaya zaidi huyu Dogo ana tumia sauti ya Diamond..ni aibu