kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Kuna underground kutoka Iringa anahojiwa sahivi na Mchomvu, anasema huwa anawasiliana na Diamond, kila akitaka kutoa wimbo anamtumia 'brother' aijaji kama inahitaji marekebisho, then akashangaa kuona Diamond katoa wimbo kama wake 'NASEMA NAO'. Clouds wameupiga ni kweli unafananafanana but isije ikawa ameurekodi baada ya kuwa Nasema Nao ushatoka then anasingizia aliurekodi kabla, doh!