Washaanza kutafuta Promo kupitia wimbo mpya wa Diamond

Washaanza kutafuta Promo kupitia wimbo mpya wa Diamond

Diamond kaimba bongo fleva,mchiriku kaimba hip hop kaimba,bado tu kuimba kwaya
 
Kachemka sana bado hana impact ya kuvuruga draft la msanii level za Diamond... Nafikiri ndio mwisho wake huu.

wala si mwisho wake. hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae. dogo nimetiririka nae maongezi live. yeye na dimond hawana tatizo. tena wako na projekt iko mbioni. usishangae tu siku ukasikia kolabo ya dai na dogo wa iringa
 
Nyie watu ni wambea! Dogo hana bifu na diamond wala nini dogo sema ana mkubali sana diamond ndo maana aliamua kumtungia wimbo unaitwa BARUA KWA DIAMOND...huo ulikuwa wimbo wake wa kwanza diamond aliupata na akamsifia dogo pia kupitia ukurasa wake wa instagram kwa wakati huo alikuw hamfaham

Then kwenye show ya mtikisiko iringa inayofanywa na radio ebony fm diamond alikuja kupiga show na ndipo alipo kutana na dogo na kumshauri sana .....video ya wimbo wake wa BARUA KWA DIAMOND mwishoni alisema itaendelea single ake ya pili ndo kaendeleza pale na.kutoa wimbo mpya unaoitwa NASHANGAA JIJI dogo anajua na akikomaa atatota anajifunza sana toka kwa diamond kwenye ukurasa wake wa instagram anatumia medaclassic kila kitu akipost lazima am tag diamond coz ndo anaye mafanya atamani kufikia pale alipo ACHENI KUZUSHA HATA BIFU LA ALIKIBA NA DIAMOND LILIANZA KAMA HIVI
 
Last edited by a moderator:
Kuna underground kutoka Iringa anahojiwa sahivi na Mchomvu, anasema huwa anawasiliana na Diamond, kila akitaka kutoa wimbo anamtumia 'brother' aijaji kama inahitaji marekebisho, then akashangaa kuona Diamond katoa wimbo kama wake 'NASEMA NAO'. Clouds wameupiga ni kweli unafananafanana but isije ikawa ameurekodi baada ya kuwa Nasema Nao ushatoka then anasingizia aliurekodi kabla, doh!

Nasema nawe kwaio tofauti na nasema nao
 
Back
Top Bottom