Washabiki wa Simba ndio watu wasio na furaha hapa Nchini

Washabiki wa Simba ndio watu wasio na furaha hapa Nchini

mlambaji asali

Senior Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
150
Reaction score
505
Hawa ndugu zetu wa Simba Wana pitia kipindi kigumu sana, ukitazama nyusi zao hazina Tena Nuru kama zamani yaani zimefubaa, Wamejaa msongo mwingi wa mawazo, wanatembea wanaongea wenyewe kama wendawazimu, Yaani wamejawa na huzuni tupu.

Haya yote yamechangiwa Kwa kiasi kikubwa na Yanga. Mpira mzuri unaopigwa na Yanga ambao umepelekea timu zote hapa nchini kuukubali na kuamua kuwakabidhi makombe, wao Simba hawataki kuukubali, yaani wanabishana na wakati, hawataki kukubali ukweli kuwa wakati wao umepita..

Hizi sasa ni zama za Yanga, hata kule kimataifa waliposema Yanga haiwezi kufurukuta Sasa midomo Yao pia imefungwa,.

Ushauri wangu ni kuwa tuwasaidie Hawa ndugu zetu kwa kuhakikisha tunawavusha barabarani wasije gongwa magari wakafariki, tuwaweke mbali vyanzo vya maji wasije kujitupia pia kamba zipigwe marufuku kuuzwa hovyo na mambo mengine km hayo,

Pia ikiwezekana kaa nao mbali maana hawachelewi kukurushia ngumu na mateke.

Mwisho naliomba jeshi la polisi liongeze ulinzi Kwa Wananchi
Screenshot_20230312-223646.jpg
JamiiForums-1102612983.jpg
 

Attachments

  • mashabiki%2Bhuruma.PNG
    mashabiki%2Bhuruma.PNG
    173.3 KB · Views: 1
  • MASHABIKI%2B1.JPG
    MASHABIKI%2B1.JPG
    157.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230312-223641.jpg
    Screenshot_20230312-223641.jpg
    18.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230312-223635.jpg
    Screenshot_20230312-223635.jpg
    27.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom