Washabiki wa YANGA=> CHELSEA=> FC BARCELONA

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Naama wadau tayar time yetu Dar Young Africa washatangaza ubingwa leo baada ya kumchapa Polisi Morogoro bao 4-1
……………………………………………

……………^^CHELSEA ^^………………

Bado mshabiki kama mm nina kiu ya ubingwa kwa timu yangu pale uingereza CHELSEA bado mechi 2 yaani ponti sita tu kutawazwa, (kama nimekosea ruksa kuweka sawa)

No. Team Match Pts
1 Chelsea 33 77
2 Manchester City 34 67
3 Arsenal 33 67
……………………………………………………………

………………FC BARCELONA……………
Tunarataraji ubingwa pia kwan ligi tunaongoza huku shauku bado ikiwa UEFA- COPA DELAY- LIGA BBVA tukichuana
 

Attachments

  • 1430149746254.jpg
    48.8 KB · Views: 301
Chelsea, barcelona? Sijawahi kuelewa ushabiki wa namna hii, una-balance vipi kuwa na clubs 2 bara moja kwa mfano?
 
Chelsea, barcelona? Sijawahi kuelewa ushabiki wa namna hii, una-balance vipi kuwa na clubs 2 bara moja kwa mfano?

Chelsea First, Second Barcelona broo
 
Mshabiki kama wewe hata Simba ikuchukua ubingwa au Pan, Machester United, Lipuli we unashangilia tu, kaazi kweli kweli.
 
Leo hiyo wadau FC Barca
 

Attachments

  • 1430228444613.jpg
    10.4 KB · Views: 89
Tupo pamoja Yanga na Chelsea ni msimu wa furaha tu
 
CHELSEA NA BARCELONA?????????? napata wakat mgumu kuchanganua ushabikibwako ila yotekwayote VIVA BARCELONA MORE THAN CLUB
 
Barcelona 6- Getafe 0 FT
*Suarez 2
*Xavi 1
*Messi 2
*Neymar
 
Kaz inakaribia kuisha
 

Attachments

  • 1430365984008.jpg
    8 KB · Views: 88
Juma pili saa 15:30 ndio siku inayotarajiwa Chelsea kutangaza ubingwa endapo itafanikiwa kuchukua point 3 kwani itakuwa imefikisha point 83 ambazo hakuna timu itakayoweza kufikisha tena, ila bado anatazamiwa pia Arsenal endapo akifungwa mechi inayofuata bas rasmi Chelsea atakuwa bingwa
 

Attachments

  • 1430366292907.jpg
    8.8 KB · Views: 85
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…