RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 456
Washabiki waliovaa barakoa wakifuatilia mechi ya nyumbani ya timu ya Georgia Tech kwenye ligi, maarufu "College League" mwaka 1918.
Ni wakati huo kulikuwa na mlipuko wa homa kali ya mafua, inayoitwa Spanish flu' iliyosabisha vifo takribani 642, 000 ndani ya Marekani.
Michezo iliendelea kwa tahadhari ya Ugonjwa huo kwa tamko la Rais wa Marekani wa wakati huo Woodrow Wilson kupitia barua ambayo iliwekwa hadharani 1919.
Picha hii ilipigwa na mwanafunzi wa Georgia aliyeitwa Thomas Carter.
Francis Daudi.