Washabiki waliovaa barakoa wakifuatilia mechi ya nyumbani ya timu ya Georgia Tech kwenye ligi, maarufu "College League" mwaka 1918

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Washabiki waliovaa barakoa wakifuatilia mechi ya nyumbani ya timu ya Georgia Tech kwenye ligi, maarufu "College League" mwaka 1918.

Ni wakati huo kulikuwa na mlipuko wa homa kali ya mafua, inayoitwa Spanish flu' iliyosabisha vifo takribani 642, 000 ndani ya Marekani.

Michezo iliendelea kwa tahadhari ya Ugonjwa huo kwa tamko la Rais wa Marekani wa wakati huo Woodrow Wilson kupitia barua ambayo iliwekwa hadharani 1919.

Picha hii ilipigwa na mwanafunzi wa Georgia aliyeitwa Thomas Carter.

Francis Daudi.

 
Hii corona ilikuwepo tangia zamani sema siku izi utandawazi ndio unatuogopesha zaidi, na ni mpango wa kiuchumi nchi fulani k
 
Ku
Kumbe corona imeanza zamani ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…