Washambuliaji raia wa kigeni wanaosajiliwa Simba wanapatwa na nini hadi wanaonekana wa mchongo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimekuwa nikifuatilia sana washambuliaji wengi wanaosajiliwa simba wakitokea nje ya Tanzania kushindwa kuonyesha makali wakati huko walikotoka walikuwa moto.

Mfano ni huyu mzungu aitwae Dejan, huyu jamaa kabla hajasajiliwa simba alikuwa anakiwasha sana, kumzuia Dejan ilihitaji akili ya ziada, ana nguvu, mashuti na spidi.Dejan anafunga popote.

Alipoletwa Simba akawa kichekesho.

Leo Dejan ana moto sio wa kawaida ligi ya Serbia.

Anafunga mabao ya hatari mno.

Mwingine ni Pa Omary Jobe.

Jobe kwa sasa sio kichekesho tu ni kituko ch mwaka.

Lakini kabla hajaja Simba rekodi zake ni za moto mno.

Mwanaume huyu amecheza ligi mbalimbali lkn hap bongo amefeli.

Wapo wengi lkn nmeanza na hawa, kuna mchezo wanafanyiw hawa
 
Mchezo upi? Wanafanyiwa na nani?
Dejan aligubikwa na ubaguzi ndani ya wachezaji wenzie, unaona kabisa kaji position vizuri kabisa na kuwa na nafasi nzuri kufunga lakini hapewi pasi.

Jobe ishu ya kufunga huko alikotoka inaweza kuchangiwa na vitu vingi kama vile ubora wa ligi alikochezea dhidi ya ligi ya Tanzania, ukubwa wa timu na presha za mashabiki huko alikotoka dhidi ya timu ya Simba. Wakati anaanza kucheza Simba yeye ndio alionekana ni bora kuliko Fredy funga funga ila muda ulivyoenda akaonekana ni wa kawaida sana.
 
Wazee wa upande wa pili Wana hako kamchezo ka kurushia wachezaji majini . Usikute hata hawa wa simba wanarushiwa majini na majirani zetu.
 
Nadhani mashabiki wa Simba wanakosa subira.
Yanga tulimvulia Musonda , Azizi ki, Guese n.k na Sasa wanafanya vizuri ila hapo Simba kila shabiki ni coach
 
Litimu limelaaniwa waache kuchezea nyota za watu

Kila anayekuja anazima
 
Nimekuwa nikifuatilia sana washambuliaji wengi wanaosajiliwa simba wakitokea nje ya Tanzania kushindwa kuonyesha makali wakati huko walikotoka walikuwa moto.

Mfano ni huyu mzungu aitwae Dejan, huyu jamaa kabla hajasajiliwa simba alikuwa anakiwasha sana, kumzuia Dejan ilihitaji akili ya ziada, ana nguvu, mashuti na spidi.Dejan anafunga popote.

Alipoletwa Simba akawa kichekesho.

Leo Dejan ana moto sio wa kawaida ligi ya Serbia.

Anafunga mabao ya hatari mno.

Mwingine ni Pa Omary Jobe.

Jobe kwa sasa sio kichekesho tu ni kituko ch mwaka.

Lakini kabla hajaja Simba rekodi zake ni za moto mno.

Mwanaume huyu amecheza ligi mbalimbali lkn hap bongo amefeli.

Wapo wengi lkn nmeanza na hawa, kuna mchezo wanafanyiw hawa
Mwalimu wa viungo pia ni kipengele mimi naamni mwili wa mchezaji ni wa timu kama vile mwili wa mwanajeshi niwa jeshi
 
Usijichoshe akili shida ni percent Wana value wachezaji wa Bei ndogo pesa kubwaa ili tu wapige hi ni kawaid a ya sisi ngozi nyeusi.
 
Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.

Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.

Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!

WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
 
Nimekuwa nikifuatilia sana washambuliaji wengi wanaosajiliwa simba wakitokea nje ya Tanzania kushindwa kuonyesha makali wakati huko walikotoka walikuwa moto.

Mfano ni huyu mzungu aitwae Dejan, huyu jamaa kabla hajasajiliwa simba alikuwa anakiwasha sana, kumzuia Dejan ilihitaji akili ya ziada, ana nguvu, mashuti na spidi.Dejan anafunga popote.

Alipoletwa Simba akawa kichekesho.

Leo Dejan ana moto sio wa kawaida ligi ya Serbia.

Anafunga mabao ya hatari mno.

Mwingine ni Pa Omary Jobe.

Jobe kwa sasa sio kichekesho tu ni kituko ch mwaka.

Lakini kabla hajaja Simba rekodi zake ni za moto mno.

Mwanaume huyu amecheza ligi mbalimbali lkn hap bongo amefeli.

Wapo wengi lkn nmeanza na hawa, kuna mchezo wanafanyiw hawa
Sio Simba tu ni tatizo la Tanzania! Hata Yanga alikuja beki wa kati hapa Toka Mali, kilichomkuta Mungu pekee anajua! Yule jamaa Toka Kenya alikuwa mfungajo Bora,hapa akawa anapiga hewani😁...hata jina nimemsahau!
 
Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.

Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.

Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!

WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
We lafakweli,hivi unafikiri Berkane n Ahly kupata namba ni rahisi kama kimiliki Akaunti JF?
 
Hao wote uliowataja wamesajiliwa kwenye timu mbovu. Mfano, huyu Fredy ilibidi aje kipindi kile Cha Mugaru, Au mfano Che Malone anamkuta Onyango wa moto, Thadeo Lwanga akisaidiana na Babacar Sarr pamoja na Ngoma, Huku Chama kule Bwalya.
Hao wachezaji ni wazuri ila wamekuta timu mbovu.
 
Uongozi je
 
Back
Top Bottom